Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gavle
ni mji nchini
Uswidi
. Mji ulianzishwa
1446
. Kuna wakazi 68,700 (mwaka 2005). Kraft General Foods Scandinavia ni kampuni kubwa ya utengenezaji wa kahawa
Eneo lake ni 41.79
km²
. Iko kando ya
Bahari ya Baltiki
.
-
Buzi ya Krismasi
-
Mji mzee wa Gavle
-
Chuo cha Watu wa Gavle
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uswidi
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Gavle
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|