Eric Kandel (amezaliwa 7 Novemba , 1929 ) ni mwanasaikolojia na daktari kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza misingi ya ki saikolojia ya ufahamu . Mwaka wa 2000 , pamoja na Paul Greengard na Arvid Carlsson , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .