Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Enrique Iglesias
|
Enrique Iglesias
|
Maelezo ya awali
|
Jina la kuzaliwa
|
Enrique Miguel Iglesias Preysler
|
Amezaliwa
|
8 Mei
1975
(
1975-05-08
)
(umri 49)
Madrid
,
Hispania
|
Asili yake
|
Miami
,
Florida
,
US
|
Aina ya muziki
|
Pop
,
Latin pop
,
R&B
|
Kazi yake
|
Mwimbaji
,
mtunzi wa nyimbo
,
mwigizaji
,
mwanamuziki
,
mtayarishaji wa rekodi
|
Ala
|
Sauti
|
Miaka ya kazi
|
1995?hadi leo
|
Studio
|
Interscope
,
Universal Music Latino
|
Ame/Wameshirikiana na
|
Nadiya
,
Lil Wayne
,
Sean Garrett
,
Ciara
,
Whitney Houston
,
Sarah Connor
,
Lionel Richie
,
Kelis
,
Gabriella Cilmi
,
Tyssem
|
Tovuti
|
www.enriqueiglesias.com
|
Enrique Miguel Iglesias Preysler
(amezaliwa tar.
8 Mei
1975
, mjini
Madrid
,
Hispania
) ni mwimbaji wa muziki aina ya pop, mtunzi na mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya
Hispania
. Ni mtoto wa mwimbaji wa muziki bwana
Julio Iglesias
na mwandishi wa habari, mwanamitindo na mtangazaji wa vipindi vya telesheni wa
Kifilipino
Bi. Isabel Preysler.
Enrique alianza shughuli za muziki na studio moja iitwayo Fonovisa Records ambayo ndio iliomsadia kuwa miongoni mwa wanamuziki maarufu huko
Latin Amerika
na katika soko la muziki wa
Kilatin
huko Marekani, na kuuza albamu nyingi za
Kihispania
kuliko msanii yoyote yule wa
Kihispania
, kwa muda wote.
- 1995:
Enrique Iglesias
- 1997:
Vivir
- 1998:
Cosas del Amor
- 2002:
Quizas
- 1999:
Enrique
- 2001:
Escape
- 2003:
7
- 2007:
Insomniac
- 1998:
Remixes
- 1999:
Bailamos Greatest Hits
- 1999:
The Best Hits
- 2008:
Enrique Iglesias: 95/08 Exitos
- 2008:
Greatest Hits
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
---|
|
Albamu kamili
| |
---|
Albamu za kompilesheni
| |
---|
Vibao vya lugha ya Kihispania
| |
---|
Vibao vya lugha ya Kiingereza
| |
---|
Nyimbo zingine
| |
---|
Makala zinazohusiana
| |
---|
|
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Enrique Iglesias
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|