Edward Mills Purcell ( 30 Agosti 1912 – 7 Machi 1997 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza usumaku wa atomu . Mwaka wa 1952 , pamoja na Felix Bloch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .