Donald Sutherland (amezaliwa tar. 17 Julai 1935 ) ni mwigizaji filamu kutoka nchini Kanada . Amepata kuonekana kwenye zaidi ya filamu 100 na vipindi vya televisheni . Pia alipata kucheza kama John Bridger katika filamu ya The Italian Job . Ana mtoto wake wa kuime aitwaye Kiefer Sutherland naye ni mwigizaji wa filamu.