Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Detroit
ni mji wa
Marekani
katika
jimbo
la
Michigan
. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 5.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 183 kutoka
juu ya usawa wa bahari
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Marekani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Detroit, Michigan
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|