Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kopenhagen,
Denmark
Mahali pa Kopenhagen katika Denmark
|
Eneo
- Mji
- Mkoa wa Jiji
|
88
km²
455.61 km²
|
Wakazi
(2006-01-01)
- Mji
- Mkoa wa Jiji
- Msongamano (mji/jiji)
|
501,158
1,115,035
5695/km² / 2447/km²
|
Kanda la wakati
|
Ulaya ya Kati:
UTC
+1
|
Latitudo
Longitudo
|
55°43' N
12°34' E
|
Sanamu ya Nguva Mdogo kufuatana na hadithi ya mshairi Mdani Hans Christian Andersen
Kopenhagen, picha ya angani
Katika mji wa kale ya Kopenhagen
Kopenhagen
(kwa
Kidenmark
:
København
= "Bandari ya wafanya biashara") ni
mji mkuu
wa
Denmark
pia
mji
mkubwa wa nchi na
kitovu
cha
utawala
,
uchumi
na
utamaduni
.
Kopenhagen iko
Zealand
(Sjælland) ambacho ni
kisiwa
kikubwa cha Denmark. Iko karibu na mji wa
Malmo
katika
Uswidi
ulio ng'ambo ya
mlango wa bahari
ya
Oresund
unaounganisha
bahari ya Baltiki
na
Kattegat
kuelekea
Bahari ya Kaskazini
. Sehemu ndogo ya mji iko kwenye kisiwa cha
Amager
.
Eneo la Kopenhagen lina miji ya Kopenhagen yenyewe (wakazi 501,158),
Frederiksberg
(wakazi 91,855),
Gentoftev
(wakazi 68,623) na wakazi wengine 453,399 katika miji midogomidogo ndani ya wilaya ya Kopenhagen.
Mahali pa Kopenhagen panapopendekezwa
[
hariri
|
hariri chanzo
]
Watu mashuhuri wenye uhusiano na Kopenhagen
[
hariri
|
hariri chanzo
]
WikiMedia Commons
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ulaya
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Kopenhagen
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|