Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Atlanta
ndiyo
mji mkuu
wa
jimbo
la
Georgia
. Kwa mujibu wa
sensa
iliyofanyika mwaka wa
2007
, kuna wakazi wapatao
milioni
5.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo
m
320
juu ya usawa wa bahari
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Marekani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Atlanta, Georgia
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|