Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arusha Times
ni
gazeti
la kila wiki linalotolewa mjini
Arusha
(
Tanzania
) kila siku ya Jumamosi. Ilianzishwa mnamo mwaka 1995 na kupatikana pia kwenye intaneti.
Kuanzia mwaka 2020 Arusha Times lilianza kuchapishwa kama The Tanzania Times sasa likiwa la kitaifa zaidi, likiandika habari za kila siku kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na maeneo ya Maziwa Makuu
[1]
|
Makala hii kuhusu
"Arusha Times"
ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Tanzania
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Arusha Times
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
- ↑
"The Tanzania Times"
.
The Tanzania Times
(kwa American English). 2024-04-20
. Iliwekwa mnamo
2024-04-26
.