Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antoine-Laurent de Lavoisier
(
Agosti 26
,
1743
-
Mei 8
,
1794
) alikuwa
mtaalamu
wa
biolojia
wa
Ufaransa
ambaye mara nyingi huitwa "
Baba
wa
Kemia
ya kisasa".
Kazi
yake ni sehemu muhimu ya
historia
ya
kemia
na
biolojia
. Pia imechangia mwanzo wa
nadharia
ya
atomiki
.
Alikuwa
mwanasayansi
wa kwanza kutambua na kutaja mambo ya
hidrojeni
na
oksijeni
.
Aliuawa, kama ilivyokuwa kwa mamia ya wakuu wengine, wakati wa
Mapinduzi ya Ufaransa
.
|
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Antoine Lavoisier
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|