Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anne Sullivan mnamo 1887
Anne Sullivan
(
14 Aprili
1866
?
20 Oktoba
1936
) alikuwa
mwalimu
kutoka nchini
Marekani
. Anafahamika zaidi kwa kuwa kama mwalimu wa mwanaharakati wa haki za binadamu Bi.
Helen Keller
.
Anne Sullivan alizaliwa mjini
Feeding Hills
,
Massachusetts
. Wazazi wake, Thomas Sullivan na Alice Clohessy, walikuwa wakulima maskini kutoka nchini
Eire
, ambao walikimbia nchini mnamo mwaka wa 1847 kwasababu ya
ukame
uliotokea nchini humo kwa kipindi hicho.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Anne Sullivan
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|