Andrew Fire (amezaliwa 27 Aprili , 1959 ) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza RNA . Mwaka wa 2006 , pamoja na Craig Mello , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .