Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anatomia
(pia
anatomi
[1]
,
en:anatomy
, kutoka
Kigiriki
?νατ?μνειν
anatemnein - kupasua, kufungua
) ni
elimu
ya
miili
ya
viumbehai
kama
binadamu
,
wanyama
na
mimea
. Inachungulia
muundo
na umbile la mwili na sehemu au
viungo
vyake.
Wataalamu
wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.
Elimu hii inasaidia kuelewa
magonjwa
, pamoja na
sababu
na matokeo yake. Ni pia msingi wa mafundisho ya
tiba
na elimu ya matibabu.
- ↑
Anatomi ni pendekezo la
KyT
kutokana na matamshi ya Kiingereza
|
Makala hii kuhusu mambo ya
anatomia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Anatomia
kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|