Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amelia Jenks Bloomer
(
Mei 27
,
1818
?
30 Desemba
1894
) alikuwa
mwanaharakati
wa
haki
za
wanawake
wa nchini
Marekani
.
Ingawa hakuunda
mtindo
wa kurekebisha mavazi ya wanawake unaojulikana kama
Bloomers
, jina lake lilihusishwa nalo kwa sababu ya utetezi wake. Katika
kazi
yake na
gazeti
la
The Lily
, alikua mwanamke wa kwanza kumiliki, kuendesha na kuhariri gazeti la wanawake.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Amelia Bloomer
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|