한국   대만   중국   일본 
Ada (lugha ya programu) - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ada (lugha ya programu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ada )
Ada
Shina la studio namna : namna nyingi

inaozingatiwa kuhusu kipengee

Imeanzishwa Februari 1 1980 ( 1980-02-01 ) (umri 44)
Mwanzilishi Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull
Ilivyo sasa Ilivutwa na: ALGOL 68, Pascal, C++ (Ada 95), Smalltalk (Ada 95), Modula-2 (Ada 95) Java (Ada 2005), Eiffel (Ada 2012)

Ilivuta: C++, Chapel, "Drago"., Eiffel, "Griffin"., Java, Nim, ParaSail, PL/SQL, PL/pgSQL, Ruby, Seed7, "SPARforte"., Sparkel, SQL/PSM, VHDL

Mahala CII Honeywell Bull
Tovuti https://www.adaic.org

Ada ni lugha ya programu . Iliundwa na Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull na ilianzishwa tarehe 1 Februari 1980 . Iliundwa ili kuumba programu na kurahisisha kujifunza lugha za programu . Leo tunatumia Ada 2012: Tucker Taft. Ilivutwa na Pascal .

Inaitwa Ada kwa heshima ya Ada Lovelace ambaye alikuwa mwanaprogramu wa kwanza.

Historia [ hariri | hariri chanzo ]

Ilianzishwa 1 Februari 1980 nchini Marekani . Lakini Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull walianza kufanya kazi kuhusu Ada mwaka 1977 .

Falsafa [ hariri | hariri chanzo ]

Namna ya Ada ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee kama lugha za programu nyingi.

Sintaksia [ hariri | hariri chanzo ]

Sintaksia ya Ada ni rahisi sana. Ilivutwa na sintaksia ya Pascal, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya Ruby [ hariri | hariri chanzo ]

Programu kwa kuchapa ≪ Jambo ulimwengu !≫.

with
 Ada.Text_IO
;
 use
 Ada.Text_IO
;

procedure
 Jambo
 is

begin

  Put_Line
 (
"Jambo ulimwengu !"
);

end
 Jambo
;

Programu kwa kuumba "package" juu ya Ada.

with
 Ada.Text_IO
;

package
 body
 Example
 is


  i
 :
 Number
 :=
 Number
'
First
;


  procedure
 Print_and_Increment
 (
j
: 
in
 out
 Number
)
 is


    function
 Next
 (
k
: 
in
 Number
)
 return
 Number
 is

    begin

      return
 k
 +
 1
;

    end
 Next
;


  begin

    Ada
.
Text_IO
.
Put_Line
 (
 "The total is: "
 &
 Number
'
Image
(
j
)
 );

    j
 :=
 Next
 (
j
);

  end
 Print_and_Increment
;


-- package initialization executed when the package is elaborated

begin

  while
 i
 <
 Number
'
Last
 loop

    Print_and_Increment
 (
i
);

  end
 loop
;

end
 Example
;

Marejeo [ hariri | hariri chanzo ]