Aaron Klug (amezaliwa 11 Agosti 1926 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza akiwa amezaliwa nchini Lithuania . Hasa anajulikana kwa kubuni hadubini kwa ajili ya kuchunguza fuwele . Mwaka wa 1982 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .