Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu
mwaka
1543 BK
(
Baada ya Kristo
).
Kitabu "De revolutionibus orbium coelestium" (kuhusu mizunguko ya magimba ya angani) cha
Nicolaus Copernicus
kinatolewa mjini
Nurnberg
, Ujerumani. Ni mara ya kwanza mtaalamu anaonyesha
Dunia
inazunguka
Jua
, si Jua na sayari zote zinazunguka Dunia, jinsi ilivyoaminiwa hadi wakati ule.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: