Euro
ni
sarafu
ya pamoja katika baadhi ya nchi za
Ulaya
. Wakazi wake 350,000,000 (2023) wanatumia kwa kawaida
pesa
hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa
barani
Afrika
.
Tangu mwaka
2002
nchi 13 za
EU
zilifuta
sarafu
ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 20.
Euro moja imegawanyika katika
senti
100.
Kuna
benknoti
za € 5 (kijivu), € 10 (nyekundu), € 20 (buluu), € 50 (machungwa), € 100 (kijani), € 200 (njano), € 500 (nyekundu).
Kuna
sarafu
za
metali
8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
Pesa
ya
karatasi
inatolewa na
benki kuu ya Ulaya
na ni sawa kote.
Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote.
Ishara
ya Euro ni
herufi ya Kigiriki
epsilon
(E) yenye mistari miwili ya kulala:
€
.
- Austria
- Ubelgiji
- Ufini
- Ufaransa
- Ujerumani
- Ugiriki
- Ueire
- Italia
- Latvia
- Luxemburg
- Ureno
- Hispania
- Uholanzi
- Slovakia
- Slovenia
- Kupro
- Malta
- Estonia
- Lithuania
- Kroatia
Nchi 6 zifuatazo hutumia pia Euro kama pesa pekee bila kuwa sehemu za mapatano, ila 4 za kwanza kwa makubaliano maalumu, nyingine 2 kwa kujiamulia:
Pesa za nchi zifuatazo zimeungwa na Euro:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
uchumi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Euro
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|