Paul Greengard (amezaliwa 11 Desemba , 1925 ) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza mawasiliano ndani ya seli . Mwaka wa 2000 , pamoja na Arvid Carlsson na Eric Kandel , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .