Msamiati
ni orodha ya
maneno
yote ambayo
watu
wanajua na wanayatumia, yakiwemo yale magumu
Watu wazima ambao huenda
chuo kikuu
wanaweza kujua maneno
20,000
.
Msamiati wa kusikia na msamiati wa kusoma ni mikubwa kuliko msamiati wa kuzungumza au msamiati wa kuandika, kama watu wanavyoelewa maneno ambayo hawayatumii.
Idadi
ya maneno katika
lugha
ni zaidi ya maneno yaliyotajwa katika
kamusi
moja
. Kamusi moja inaweza kuwa na orodha ya maneno 500,000 (
nusu
milioni
).
Kamusi nyingine inaweza kuwa na maneno mengine ambayo kamusi nyingine haina. Unapoongeza maneno yote katika kamusi hizo, kunakuwa na maneno 750,000 ya
Kiingereza
. Pia kunaweza kukawa na maneno zaidi ya hayo.
Unaweza kufikiri mwenyewe, "
Ikiwa kuna maneno 750,000, tunawezaje kuzungumza na maneno 3000 tu?
". Ni kwa sababu, hatuhitaji kujua maneno yote. Unaweza kusema
vitu
vingi kwa maneno karibu 3,000.
Maneno yaliyotumiwa zaidi ni maneno mafupi. Hiyo ni kweli katika lugha zote.
Msamiati wa lugha hubadilika. Maneno mapya yanazalishwa au maneno yanabadilika
maana
yake. Maneno kuhusu
kompyuta
, kama "download" ni mapya kwa lugha ya
Kiingereza
.
Neno
jipya la "bling" linatoka katika
muziki
. Maneno kama "baridi" yametengeneza maana mpya.
Vilevile msamiati tunaweza kusema ni maneno magumu ambayo mtu hayaelewi katika kifungu cha habari fulani. Mfano neno
tabasamu
: ukimuuliza
mtu
maana ya
neno
hilo utapata majibu tofauti.
Ukimtaka mtu atunge
sentensi
kulingana na neno tajwa unaweza kupata sentensi za aina hii:
Hapa tunaona kuwa neno hili limeelezewa na kila mtu kwa jinsi alivyolizoea katika
matumizi
, hivyo kwa hapa
maana
halisi ya neno tutaipata kutokana na lilivyotumika katika sentensi husika.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Msamiati
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|