Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ludwig van Beethoven (1770?1827) alivyochorwa na
Joseph Karl Stieler
,
1820
.
Ludwig van Beethoven
(
16 Desemba
1770
-
26 Machi
1827
) alikuwa mtungaji wa
muziki
na mpiga
piano
kutoka nchi ya
Ujerumani
.
Alizaliwa mjini
Bonn
akiwa
mtoto
wa
mwanamuziki
aliyemfundisha kupiga
kinanda
tangu utotoni.
Mwaka
1787
akiwa
kijana
alisafiri hadi
Vienna
uliokuwa
mji mkuu
wa
Dola Takatifu la Kiroma
kwa matumaini ya kukutana na
Wolfgang Amadeus Mozart
akarudi huko mwaka
1792
alipopata mafunzo kutoka kwa
Joseph Haydn
.
Tangu mwaka
1793
alikuwa maarufu mjini Vienna kama
mpigakinanda
akaendelea kutunga muziki wake. Alipata msaada wa wateja kati ya ma
kabaila
wa
makao makuu
ya
Kaisari
.
Tangu mwaka
1796
alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia akazidi kuwa
kiziwi
lakini aliamua kuendelea na muziki wake. Kuna
hadithi
ya kwamba aliongoza
simfonia ya tisa
na mwishowe watu walimgeuza aangalie wasikilizaji kwa sababu hakusikia jinsi walivyopiga makofi.
Alijitahidi kuendelea kutunga na kuongoza muziki na kupiga piano. Alifunga
fimbo
kwenye kinanda akaishika kwa meno na kusikia walau
tetemeko
la piano kupitia fimbo na meno yake.
Aliaga dunia alipokuwa na
umri
wa miaka 57.
- Brandenburg, Sieghard (ed.):
Ludwig van Beethoven: Briefwechsel. Gesamtausgabe
. 8 vols. Munich: Henle 1996.
- Clive, Peter (2001).
Beethoven and His World: A Biographical Dictionary
. New York: Oxford University Press.
ISBN
0-19-816672-9
.
- Cooper, Barry
(2008).
Beethoven
. Oxford University Press US.
ISBN
978-0-19-531331-4
.
- Cross, Milton; Ewen, David (1953).
The Milton Cross New Encyclopedia of the Great Composers and Their Music
. Garden City, New Jersey: Doubleday.
ISBN
0-385-03635-3
.
OCLC
17791083
.
- Kigezo:GroveOnline
- Landon, H. C. Robbins
; Gollerich, August (1970).
Beethoven: a documentary study
. Macmillan.
ISBN
0-02-567830-2
.
OCLC
87180
.
- Lockwood, Lewis
(2003).
Beethoven: The Music And The Life
. W. W. Norton.
ISBN
978-0-393-32638-3
.
- Klaus Martin Kopitz, *
Beethoven’s ‘Elise’
Elisabeth Rockel
: a forgotten love story and a famous piano piece
, in:
The Musical Times
, vol. 161, no. 1953 (Winter 2020), pp. 9?26
- Sachs, Harvey
,
The Ninth: Beethoven and the World in 1824
, London, Faber, 2010.
ISBN 978-0-571-22145-5
.
- Solomon, Maynard
(2001).
Beethoven
(toleo la 2nd revised). New York: Schirmer Books.
ISBN
0-8256-7268-6
.
- Stanley, Glenn (ed) (2000).
The Cambridge Companion to Beethoven
. Cambridge: Cambridge University Press.
ISBN
0-521-58074-9
.
- Steblin, Rita
(2009). "
'A dear, enchanting girl who loves me and whom I love': New Facts about Beethoven's Beloved Piano Pupil Julie Guicciardi".
Bonner Beethoven-Studien
.
8
: 89?152.
- Thayer, A. W.
; Krehbiel, Henry Edward (ed, trans); Deiters, Hermann; Riemann, Hugo (1921).
The Life of Ludwig Van Beethoven, Vol 1
. The Beethoven Association.
OCLC
422583
.
{{
cite book
}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (
link
)
- Thayer, A. W.
;
Forbes, Elliot
(1970).
Thayer's Life of Beethoven (2 vols)
. Princeton: Princeton University Press.
ISBN
0-691-02702-1
.
WikiMedia Commons
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ludwig van Beethoven
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|