Herbert Aaron Hauptman (amezaliwa 14 Februari 1917 ) alikuwa mwanahisabati kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza elimu ya fuwele . Mwaka wa 1985 , pamoja na Jerome Karle alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .