Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nakshi
za
mawe
za Agnes Mtakatifu katika
kanisa
la "Santa Agnese fuori le mura" huko Roma.
Agnes wa Roma
(alifariki
mjini
Roma
,
Italia
,
304
) alikuwa
bikira
mwenye
umri
wa miaka 12 aliyekataa kuolewa kutokana na
imani
yake ya
Kikristo
.
Kwa sababu hiyo aliteswa
akauawa
wakati wa
dhuluma
ya
Dola la Roma
dhidi ya Wakristo.
Habari zake hazieleweki waziwazi kama aliishi wakati wa
Kaisari Decius
au wakati wa Kaisari
Diokletian
ambao wote wawili waliamuru mateso ya Wakristo, lakini mwelekeo wa
wanahistoria
ni kukubali jibu hilo la pili.
Tangu kale anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake ni
tarehe
21 Januari
[1]
.
Wikisource
ina maelezo kamili yahusianayo na makala hii:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|