Tarehe
15 Novemba
ni
siku
ya 319 ya
mwaka
(ya 320 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 46.
Wakristo
wengi, wakifuata
mapokeo ya Roma
, huadhimisha
kumbukumbu
za
watakatifu
Alberto Mkuu
,
Fidensyani, Valeriana, Viktorya na wenzao
,
Guria na Samona
,
Malo
,
Leopoldo Mtawa
,
Roko, Alfonso na Yohane
,
Yosefu Pignatelli
,
Yosefu Mukasa Balikuddembe
,
Rafaeli Kalinowski
n.k.
WikiMedia Commons
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
15 Novemba
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|