Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vincenzo
(kwa
Kikorea
: 빈센조; RR:
Binsenjo
) ni safu ya
runinga
ya
Korea Kusini
inayoigizwa na
Song Joong-ki
,
Jeon Yeo-been
,
Ok Taec-yeon
,
Kim Yeo-jin
na
Kwak Dong-yeon
.
Ilirushwa hewani kwenye
tvN
kutoka Februari 20 hadi Mei 2, 2021.
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Vincenzo
kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|