Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Septemba
ni
mwezi
wa
tisa
katika
Kalenda ya Gregori
.
Jina
lake limetokana na
neno
la
Kilatini
septem
, maana yake ni "
saba
".
Mwaka
wa
153
KK
, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka
Machi
kwenda
Januari
, na maana ya jina lake Septemba ilipotea.
Tarehe 20, mwezi huo wa Septemba, ni
siku mlingano
(au
ikwinoksi
kutoka
Kiingereza
equinox
) ambapo
jua
huvuka mstari wa
ikweta
, na muda wa
usiku
na
mchana
unalingana
duniani
kote (ila maeneo ya
ncha
ambapo
nusu
ya jua hubaki chini ya
upeo wa macho
na nusu nyingine juu kwa siku nzima).
Septemba ina siku 30, na inaanza na siku ya
juma
sawa na mwezi wa
Desemba
.
Wikamusi
ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: