Linda Buck (amezaliwa 29 Januari , 1947 ) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza mfumo wa kunusa. Mwaka wa 2004 , pamoja na Richard Axel , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .