한국   대만   중국   일본 
Parliament of Tanzania

Parliament of Tanzania

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi, Kamati ya Bajeti pamoja na Serikali kilichopokea mrejesho wa hoja mahususi za Kibajeti za Mwaka 2022/2023 na Mwaka 2023/2024. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kuzingatia Mapendekezo ya Ratiba ya Shughuli za ziada katika Mkutano wa Kumi na Tano kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2024 Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, tarehe 28 Mei, 2024. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifungua Maonesho ya Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake yaliyofanyika tarehe 27 Mei, 2024, katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Rais wa IPU na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Misri, Mhe. Dkt. Mostafa Madbouly  Cairo nchini Misri Naibu Spika wa Bunge la  Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizindua Katiba na Mpango Mkakati wa Umoja wa Wabunge Vijana wa Bunge la Tanzania (TYPC). Rais wa  IPU na Spika wa Bunge la  Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa  Spika wa Bunge la Austria, Mhe. Wolfgang Sokotka mara baada ya kuzungumza naye katika Ofisi za Bunge hilo  Vienna nchini Austria. Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la  Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Spika wa Bunge la Austria, Mhe. Wolfgang Sokotka katika Ofisi za Bunge hilo zilizopo Vienna nchini Austria.   Rais wa  IPU na Spika wa Bunge la  Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  akishiriki ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Nyuklia  unaofanyika Vienna nchini Austria. Rais wa IPU  na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpa zawadi Spika wa Algeria Mhe. IBrahim Boughali wakati alipokutana  naye Ofisi za Makao Makuu ya IPU, Geneva nchini Uswisi

Mapendekezo Ya Serikali Ya Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025.

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Hali Ya Uchumi Ya Mwaka 2023 Na Mpango Wa Maendel ...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ak ...

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Fedha ...

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Malia ...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Law School of Tanzania (Amendment) Bill, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024. First reading Download
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024 First reading Download
The Social Security Laws (Amendments) Bill, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023 Download
MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25 Download
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download
MAELEZO YA MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/2025 Download

Education And Outreach

EDUCATION