Mamilioni ya vijana wanaotarajiwa kuingia katika soko la ajira kwenye nchi zinazoendelea katika miongo ijayo, wameaswa kutokimbia umasikini vijijini badala yake wasaidie kuinua sekta ya kilimo. Flora Nducha…
Teknolojia ya anga za mbali hususan ile ya kuangalia sayari dunia inaweza kutumika katika kukabliana na magonjwa kwani inawezesha kufuatilia maeneo ambayo yamesambaa maji ambako kuna hatari ya…
Mgogoro wa lishe unaochochewa na machafuko yanayoendelea, kutokuwepo usalama na watu kutawanywa nchini Mali unatishia maisha na mustakhbali wa maelfu ya watoto katika taifa hilo la Afrika ya…
Zahma inazidi kukumba waislamu wa kabila la Rohingya wanaokimbia ghasia nchini mwao Myanmar ambapo katika tukio la karibuni zaidi watu 13 wengi wao wakiwa watoto wamekufa maji baada…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?Antonio Guterres?amezuru Jamhuri ya Dominica kama sehemu ya ziara yake katika visiwa vya Carribea.…
Nimekuwa katika maeneo yalioharibiwa na vita, na nimeshuhudia??nchini mwangu binafsi matetemeko ya ardhi, nimeona dhoruba, lakini sijawahi kushuhudia uharibifu…
Muziki ni moja ya sanaa zinazotumika kupitisha ujumbe kwa jamii. Wasanii kwa kuona kile kinachoendelea kwenye jamii yao hutunga mashairi na kupangilia…
Nchi 8 zilizo kusini mwa jangwa la Sahara, zimechukua hatua za kipekee ili kuondokana na ugonjwa wa Malaria ifikapo mwaka 2030. Nchi…
Kusini mwa Janga la sahara imebainika kuwa ndoa za utotoni na vitendo vya ukeketwaji kwa wasichana vimeshamiri hivyo kuwakosesha wasichana fursa? ya…
Malengo ya maendeleo endelevu yaani SDGs yapo 17 na Umoja wa Mataifa unatumia kila mbinu kuhakikisha kuwa kila mkazi wa dunia hii…
Mratibu mkazi na masuala ya kibinadamu wa Umoja wa mataifa nchini Sudan amesema ameshtushwa sana na kitendo cha kutekwa nyara kwa mfanyakazi wa misaada ya kibinadamu kutoka Uswis mnamo Jumamosi…
Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili dhidi ya wanawake Dubravka ?imonoviæ,amesema bado mikataba mingi ya kutetea haki za kundi hilo…
Wanaanga, wanadiplomasia, watunga sera na wataalam kutoka kote ulimwenguni wanakutana kuanzia leo kwenye makao makuu ya Umoja wa mataifa hapa New York…
Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR,?limeonya?vikali kuhusu? Ukiukwaji wa sheria za kimataifa za wakimbizi, unaofanywa? na askari kushambulia familia…
Wanaume wana nafasi kubwa kufanikisha elimu kwa mtoto wa kike- Malala
Soma Zaidi
Kampeni ya kutokomeza nyuklia yashinda tuzo ya amani ya Nobel
Huduma za afya Yemen sasa ni mapangoni
Kazi ya ulinzi wa amani UM ni zaidi ya kubeba mtutu wa bunduki
Vijana Tanzania wajifunza kilichosababisha mauaji ya halaiki
Usawa wa kijinsia waleta manufaa nchini Tonga
Fidel Castro alikuwa msemaji wa dunia ya tatu:Dr Salim
Fursa adimu kuiwakilisha nchi yangu UM nitaikumbuka daima-Manongi
Mengi yameighubika Afrika 2016:Balozi Kamau
Akiwa ukimbizini, ndoto ya kurejea nyumbani bado i hai
Kipindupindu Haiti; Umoja wa Mataifa waomba radhi na kuelezea mtazamo mpya
Kubadilisha mtazamo-ukatili dhidi ya wanawake #GBV
Wiki ya #Polisi wa Umoja wa Mataifa- UNMISS
Mobutu na Tshombe, viongozi wa DRC waliotwamisha nchi yao
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la atomiki, IAEA Yukiya Amano amesisitiza dhima ya shirika lake katika kuimarisha usalama wa nyuklia duniani kwa maendeleo. Amano amesema hayo mjini…
Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu ICRC, imeamua kupunguza shughuli zake nchini Afghanistan? baada ya mfululizo wa mashambulizi? dhidi ya wafanyakazi…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM, limetoa ?msaada wa dharura huko Sabratah lybia ,kilomita 80 magharibi mwa mji mkuuTripoli kwa…