Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zhuhai
(kwa
Kichina
: 珠海市) ni
mji
wa
China
katika
jimbo
la
Guangdong
.
Kwa mujibu wa
sensa
iliyofanyika mnamo
mwaka
wa
2005
, kuna wakazi wapatao
milioni
1.4 wanaoishi katika mji huu.
Tarehe
23 Oktoba
2018
rais
wa China
Xi Jinping
alizindua rasmi
daraja
la baharini refu kuliko yote
duniani
(
kilometa
55) linalounganisha
Hong Kong
,
Macau
na mji wa Zhuhai upande wa China bara.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
China
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Zhuhai
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|