Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'
Willard Sterling Boyle
(
19 Agosti
,
1924
-
7 Mei
,
2011
) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya
Kanada
aliyepata uraia wa
Marekani
pia. Hasa amechunguza vipitishi vya
umeme
. Mwaka wa
2009
, pamoja na
Charles Kao
na
George E. Smith
, alikuwa mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Fizikia
.
|
Makala hii kuhusu mshindi wa
Tuzo ya Nobel
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Willard Boyle
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|