Wikimedia Commons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikimedia Commons
Wikimedia Commons

Wikimedia Commons (pia huitwa "Wikicommons") ni hazina ya kuhifadhia na kutumia faili za picha , za sauti na nyinginezo.

Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote; tena si lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote.

Wikimedia Commons ni mradi wa Wikimedia Foundation .

Picha Bora Katika Mradi Wa Wikimedia Commons [ hariri | hariri chanzo ]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: