Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
West Coast hip hop
ni aina ya
muziki wa hip hop
ambao umewazunguka wasanii wowote au muziki wowote wa hip hop wenye chimbuko la kanda ya magharibi mwa nchi ya
Marekani
. Japokuwa utamaduni wa muziki wa hip hop ulipewa jina lake huko mjini
New York City
, lakini bado huaminika na baadhi ya watu kwamba utamaduni ulijianzisha wenyewe kwa pande zote mbili, yaani, East na West coasts, kwa mtiririko sawa.
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
West Coast hip hop
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|