Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Waswahili
ni
jina
la kutaja wakazi wa
miji
ya pwani ya
Bahari Hindi
katika
Afrika ya Mashariki
, hasa
Tanzania
na
Kenya
, ambao ni wasemaji asili wa
lugha
ya
Kiswahili
kama
lugha ya kwanza
.
Neno
"Swahili" linatokana na
Kiarabu
"?????" (sawahil) yaani
pwani
, kwa hiyo maana yake ni "watu wa pwani". Lakini wanaisimu wengine wanafikiri kwamba
asili
ya neno hili ni "siwa hili"
[1]
.
Siyo
makabila
yote ya pwani ya Afrika ya Mashariki ambao ni Waswahili, k.m.
Wamijikenda
.
Kimbari
ni
Wabantu
wakichanganyikiwa kiasi na watu wengine, hasa
Waarabu
, zamani pia Waajemi
[2]
.
Kiutamaduni
ni
Waislamu
wanaofuata
madhhab
ya Hanafi.
Pia ni kawaida kuwaita
Waswahili
wasemaji wa
Kiswahili
hata kama ni wa makabila mengine.
"Mswahili" ni pia namna ya kumtaja mtu mjanja kwa
lugha
ya mzaha.
[3]
Tazama pia
Marejeo
- ↑
Mazrui, Alamin and Ibrahim Noor Shariff ,1994.
The Swahili: Idiom and Identity of an African People.
Trenton (New Jersey): Africa World Press
- ↑
Utafiti wa DNA ya watu 80 waliozikwa kwenye miji ya Waswahili kati ya mwaka 1250 hadi 1800 ulionyesha kwamba karibu nusu walitokana na Waajemi kuzaliana na Waafrika; ona: Brielle, E.S., Fleisher, J., Wynne-Jones, S. et al. Entwined African and Asian genetic roots of medieval peoples of the Swahili coast. Nature 615, 866?873 (2023).
https://doi.org/10.1038/s41586-023-05754-w
- ↑
"Waswahili ni Akina Nani?"
.
Google Arts & Culture
(kwa Kiswahili)
. Iliwekwa mnamo
2024-01-13
.
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa
Kenya
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Waswahili
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa
Tanzania
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Waswahili
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|