Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wamwera
ni
kabila
la
watu
wa
Tanzania
wanaoishi katika
Mkoa wa Lindi
, hasa kwenye
Wilaya ya Nachingwea
,
Lindi Vijijini
na
Ruangwa
.
Wamwera huwasiliana kwa
lugha
yao ya
Kimwera
(wao wanasema
Shimwera
), lugha ambayo ina
muundo
unaoeleweka upande wa
sarufi
na
matamshi
yake, tena kwa urahisi sana.
Wanajitahidi kudumisha
mila
na
desturi
zao. Wamwera ni maarufu kwa kufuata
mfumo jike
, ambao
mwanamke
ndiye mwenye nguvu na anapewa umiliki wa watoto na ndiye mtawala mkuu, hivyo watoto hutumia majina ya koo za mama zao.
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa
Tanzania
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Wamwera
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|