Walther Wilhelm Georg Bothe ( 8 Januari 1891 – 8 Februari 1957 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani . Hasa anajulikana kwa kuvumbua njia mpya ya kutambua vijipande vya atomu . Mwaka wa 1954 , pamoja na Max Born alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .