Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Walabi
|
![Walabi mwepesi (Macropus agilis)](//upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/25/Macropus_agilis.jpg/250px-Macropus_agilis.jpg)
Walabi mwepesi (
Macropus agilis
)
|
Uainishaji wa kisayansi
|
|
Ngazi za chini
|
Jenasi 10:
- Dorcopsis
Schlegel
&
Muller
, 1845
- Dorcopsulus
Matschie
, 1916
- Lagorchestes
Gould
, 1841
- Lagostrophus
Thomas
, 1897
- Macropus
Shaw
, 1790
- Onychogalea
Gray, 1841
- Petrogale
Gray, 1837
- Setonix
Lesson
, 1842
- Thylogale
Gray, 1837
- Wallabia
Trouessart
, 1905
|
Walabi
ni
marsupialia
wa
familia
Macropodidae
ambao wanapatikana maeneo ya
Australia
na
Nyugini
.
Wanyama
hao wanafanana na
kangaruu
lakini ni wadogo zaidi.
Katika
uainishaji wa kisayansi
walabi wapo katika familia
moja
pamoja na kangaruu. Huainisha katika
spishi
48
na
jenasi
kumi
, lakini
kangaruu
wamegawanyika katika spishi
sita
za jenasi
mbili
:
Macropus
na
Osphranter
.
|
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Walabi
kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|