Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wagiriama
(pia huitwa
Wagiryama, Kigiriama,
au
Kigiryama)
ni mojawapo ya
makabila
tisa
ya
Wamijikenda
(iliyo na tafsiri ya "miji tisa").
Wamijikenda ni wakazi wa ukanda wa
pwani
ya
Kenya
kutoka
Lamu
,
mji
ulio
kaskazini
mwa
Kenya
, hadi
kusini
(mpaka wa
Kenya
na
Tanzania
), na
wastani
wa
kilomita
30 ufuoni.
Wamijikenda huzungumza
lugha
zenye uhusiano wa karibu, aina zote za
lugha za Kibantu
ambayo ni sawa na
kundi
ambalo kwa upana zaidi lugha maarufu ya
Kiswahili
ilikopolewa.
Wagiriama ni kati ya mabingwa wa makabila haya. Wao hukaa eneo lililopakana na miji ya pwani ikiwemo
Mombasa
,
Malindi
au
Mariakani
na
Kaloleni
.
Wagiriama hujihusisha sana na
kilimo
kwa kupanda
mazao
ya kuuza na kujikimu.
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa
Kenya
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Giriama
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|