Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wadudu
|
Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibuli (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Animalia
(Wanyama)
|
Faila:
|
Arthropoda
(Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
|
Nusufaila:
|
Hexapoda
(Arithropodi wenye miguu sita)
|
Ngeli:
|
Insecta
(Wadudu)
Linnaeus
,
1758
|
|
Ngazi za chini
|
Nusungeli na oda
:
|
Wadudu
wa kweli (tazama
mdudu
) ni kundi la
arithropodi
wadogo kiasi ambalo lina
spishi
nyingi
duniani
.
Kibiolojia
wako katika
ngeli
ya
Insecta
.
Wadudu wanashirikiana kuwa na
muundo
wa
mwili
chenye pande tatu za
kichwa
mbele,
kidari
katikati na
fumbatio
nyuma, halafu jozi tatu za
miguu
na kwa kawaida jozi mbili za
mabawa
. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwa
khitini
yenye kazi ya
kiunzi nje
.
Hadi sasa
wataalamu
waliainisha zaidi ya spishi
milioni
1 za wadudu na
makadirio
ni kwamba kuna spishi nyingi zaidi, labda hadi milioni 30.
Wadudu wanaishi takriban kila mahali
duniani
. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu za
tropiki
na idadi inapungua kwenye
baridi
. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikana
Antaktika
. Wadudu ni wachache sana
baharini
lakini hata humo kuna spishi chache.
Uainishaji
wa wadudu umebadilika sana tangu utumiaji wa uchanganuzi wa
ADN
umeanza. Mfano wa mwainisho wa hivi karibuni unafuata:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
biolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Wadudu
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|