Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wadatoga wakiwamba
ngozi
.
Wadatooga
(pia huitwa
Wataturu
au
Wamang'ati
) ni
kabila
la
watu
wa
Kiniloti
nchini
Tanzania
wanaoishi hasa katika
mikoa
ya
Manyara
,
Mara
,
Arusha
na
Singida
.
Mwaka 2000 walikadiriwa kuwa 87,978.
[1]
Lugha
yao ni
Kidatooga
, ingawa
lahaja
zake zinatofautiana kiasi kwa kufanya maelewano kuwa magumu.
Kuna walau makundi saba:
- Wabajuta
- Gisamjanga (Kisamajeng, Gisamjang)
- Wabarabayiiga
(Barabaig, Barabayga, Barabaik, Barbaig)
- Waasimjeeg (Tsimajeega, Isimijeega)
- Warootigaanga (Rotigenga, Rotigeenga)
- Waburaadiiga (Buradiga, Bureadiga)
- Wabianjiida (Biyanjiida, Utatu)
|
Makala hii kuhusu utamaduni wa
Tanzania
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Wadatoga
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
- ↑
[1]