Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Valle d'Aosta
(kwa
Kifaransa
:
Vallee d'Aoste
; kwa
Kiswahili
:
Bonde la Aosta
) ni
mkoa
wenye kujitawala wa
Italia
. Ni mkoa mdogo kuliko yote kwa
eneo
(km² 3,263) na kwa
idadi
ya wakazi (126,935) na kwa sababu hiyo hauna wilaya
ndani
yake.
Mji mkuu
wake ni
Aosta
.
Wakazi wengi wanaongea
Kiitalia
, lakini pia
lahaja
maalumu ya
Kifaransa
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Italia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Valle d'Aosta
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|