Val Logsdon Fitch (amezaliwa 10 Machi 1923 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza nadharia ya atomu na uhusiano wake na wakati . Mwaka wa 1980, pamoja na James Cronin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .