한국   대만   중국   일본 
Uvivu - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Uvivu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Scene in club lounge , mchoro wa Thomas Rowlandson .

Uvivu ni tabia ya kupenda kukaa bila kazi maalumu au kuifanya bila bidii ; hali hiyo inamfanya mtu ajihisi daima na uchovu na kwamba hawezi kufanya kazi ingawa mwili wake ni mzima kabisa.