Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Usingizi
(kwa
Kiingereza
"sleep") ni hali ya
binadamu
na
wanyama
kupumzika kwa
mwili
na
akili
.
Usingizi hutokea wakati
mapigo
ya
moyo
na
upumuaji
hupungua kwa
ngazi
zao za chini.
Misuli
yako inatulia na inaweza kuwa vigumu kukuamsha. Huwa hujitambui wala hujitawali sawasawa.
- Brown Ritchie E.; Basheer Radhika; McKenna James T.; Strecker Robert E.; McCarley Robert W. (2012).
"Control of Sleep and Wakefulness"
.
Physiological Reviews
.
92
(3): 1087?1187.
doi
:
10.1152/physrev.00032.2011
.
PMC
3621793
.
PMID
22811426
.
- Parmeggiani, Pier Luigi, & Ricardo A. Velluti, eds. (2005).
The Physiologic Nature of Sleep
. London: Imperial College Press.
ISBN
1-86094-557-0
.
- Parmeggiani, Pier Luigi (2011).
Systemic Homeostasis and Poikilostasis in Sleep: Is REM Sleep a Physiological Paradox?
London: Imperial College Press.
ISBN
978-1-94916-572-2
- Turek, Fred W. & Phyllis C. Zee, eds. (1999).
Regulation of Sleep and Circadian Rhythms.
New York: Marcel Dekker, Inc.
ISBN
0-8247-0231-X
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
biolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Usingizi
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|