한국   대만   중국   일본 
Ushindi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ushindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johann Carl Loth : Mfano wa Ushindi .
Ufufuko kadiri ya Piero della Francesca , 1460

Ushindi (kutoka kitenzi kushinda , yaani kubaki ; kwa Kiingereza : victory ) ni neno linalomaanisha kufanikiwa au kufaulu katika matukio kama vile majaribu , mitihani , kesi , mapigano au mechi .

Katika Ukristo [ hariri | hariri chanzo ]

Katika Ukristo ushindi mkuu ni ule alioupata Yesu kwa ajili ya watu wote dhidi ya mauti kwa kufufuka kwake . [1]

Tanbihi [ hariri | hariri chanzo ]

  1. "Mauti imemezwa kwa kushinda. Ku wapi, ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, ewe mauti, uchungu wako? Uchungu wa mauti ni dhambi , na nguvu za dhambi ni torati . Lakini Mungu ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo  ! ( 1 Kor 15:54b-56)"