Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Mt.
Makari wa Misri
na
Kerubi
" kutoka
Monasteri ya Mt. Katerina, Sinai
,
Sinai
,
Misri
.
Useja
ni hali ya mtu kuishi bila
ndoa
. Inaweza kutokea kwa sababu mbalimbali, lakini inazingatiwa hasa ile inayotokana na
uamuzi
kamili wa mhusika asiye na kizuio chochote, hasa kama akichagua kuishi hivyo kwa sababu ya kidini.
Kesi za namna hiyo zimepatikana katika
dini
karibu zote.
Ni maarufu hasa neno la
Yesu
katika kutetea wanaofanya hivyo kwa ajili ya
Mungu
, yeye akiwa mmojawapo (
Math
19:11-12).
Katika
Ukristo
hali ya namna hiyo inaitwa pengine
useja mtakatifu
na ni msingi wa
utawa
wa aina yoyote.
|
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|