Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milima ya Usambara.
Milima ya Usambara.
Milima ya Usambara
ni sehemu iliyoinuka upande wa
Kaskazini
Mashariki
wa nchi ya
Tanzania
.
Milima ya Usambara ni
milima kunjamano
yaani
milima
iliyoshikana kutoka mlima mmoja mpaka mwingine. Ni sehemu ya
Tao la Mashariki
.
Wenyeji wanaoishi maeneo haya ni
Wasambaa
, ndiyo maana ikaitwa milima ya Usambara. Iko katika
mkoa wa Tanga
kuanzia
Korogwe
kuelekea kaskazini mpaka karibu na
milima ya Upare
.
Milima hiyo ni:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![](//upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/76/Flag_map_of_Tanzania.svg/40px-Flag_map_of_Tanzania.svg.png) | Makala hii kuhusu maeneo ya
Tanzania
bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu
Milima ya Usambara
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
|