Upton Beall Sinclair Jr. ( 20 Septemba 1878 – 25 Novemba 1968 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani . Mwaka wa 1943, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Dragon's Teeth .