Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upinde
(kutoka
kitenzi
"kupinda") au
uta
ni
mti
au maada nyingine iliyopindwa ambayo ncha zake zimeunganishwa kwa
kamba
,
ukano
au
ngozi
isiyotanishwa na hutumiwa kwa ajili ya kurushia
mishale
.
Inaaminika kuwa upinde wa kale kabisa ulipatikana
Holmegard
nchini
Denmark
ukiwa na miaka 8.000.
Upinde ulitengenezwa kwa minajili ya kuwinda
wanyama
wenye
mbio
na ambao hawangefikika kwa kukimbizwa mbio au kurushiwa
mawe
.
Baadaye, upinde ulitumika kama zana za
vita
jamii
zilipokuwa zikikabiliana na maadui zao. Hata hivyo
teknolojia
hii ya kutumia upinde kama zana za vita imepitwa na wakati kwani kuna zana nyingine zilizo na haraka na bora kuliko upinde na mshale.
Leo upinde hutumika kwa minajili ya kuwinda na katika
mchezo
wa archery ingawapo wachezaji wa mchezo huo hutumia upinde wenye muundo tofauti na ulioboreshwa
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
teknolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|