Upietisti
(kwa
Kiingereza
Pietism
, kutoka
neno
la
Kilatini
pietas, yaani
heshima
kwa
Mungu
, kwa
wazazi
, kwa
ndugu
na kwa nchi asili) ulikuwa tapo lenye athari kubwa kati ya
Walutheri
, lakini pia kwa
madhehebu
mengine ya
Uprotestanti
, na hata kwa
Wakatoliki
huko
Ulaya
na
Amerika Kaskazini
[1]
tangu mwishoni mwa
karne ya 17
.
Uliunganisha mikazo
ya Kilutheri
kuhusu mafundisho ya
Biblia ya Kikristo
na mikazo ya
Kikalvini
kuhusu
maadili
imara.
Asili yake ni
Ujerumani
ya leo na kazi ya
Philipp Jakob Spener
,
mwanateolojia
Mlutheri aliyesisitiza mabadiliko ya
Mkristo
kwa aina ya kuzaliwa upya. Ingawa yeye hakudai wafuasi wake wajitenge na Wakristo wenzao, mahimizo yake yalielekea huko.
Upietisti ulienea kwanza
Uswisi
na nchi nyingine za
lugha
ya
Kijerumani
barani
Ulaya
, halafu
Skandinavia
na
Baltiki
(ulipoathiri zaidi tena
utamaduni
wa Kikristo kupitia watu kama
Hans Nielsen Hauge
huko
Norway
,
Carl Olof Rosenius
huko
Sweden
,
Katarina Asplund
huko
Finland
na
Barbara von Krudener
katika nchi za Baltiki), na hatimaye Ulaya nzima.
Kutoka huko ulipelekwa Amerika Kaskazini, hasa kwa njia ya wahamiaji kutoka Ujerumani na Skandinavia, ukaathiri Waprotestanti wenye asili tofauti ukachangia katika
karne ya 18
mwanzo wa
Ukristo wa Kiinjilisti
, ambao leo una waumini
milioni
mia tatu
.
Tapo la Upietisti ndani ya Ulutheri lilifikia kilele chake katikati ya karne ya 18, lilififia kati
karne ya 19
na kutoweka Amerika mwishoni mwa
karne ya 20
.
Hata hivyo, baadhi ya misimamo yake iliathiri
Uprotestanti
kwa jumla, ikimchochea
kasisi
Mwanglikana
John Wesley
kuanzisha tapo la
Wamethodisti
, na vilevile
Alexander Mack
kuanzisha tapo la
Schwarzenau Brethren
kati ya
Waanabaptisti
.
Huko
Marekani
, Upietisti ulitawala pia kati ya
Quakers
,
Wakalvini
,
Wabaptisti
,
Waanglikana
n.k.
- ↑
In places, such as parts of England and America, where Pietism was frequently juxtaposed with
Roman Catholicism
, Catholics also became naturally influenced by Pietism, helping to foster a stronger tradition of congregational hymn-singing, including among Pietists who converted to Catholicism and brought their pietistic inclination with them, such as
Frederick William Faber
.
- Brown, Dale:
Understanding Pietism
, rev. ed. Nappanee, IN: Evangel Publishing House, 1996.
- Brunner, Daniel L.
Halle Pietists in England: Anthony William Boehm and the Society for Promoting Christian Knowledge
. Arbeiten zur Geschichte des Pietismus 29. Gottingen, Germany: Vandenhoeck and Ruprecht, 1993.
- Olson, Roger E., Christian T. Collins Winn.
Reclaiming Pietism: Retrieving an Evangelical Tradition
(Eerdmans Publishing Company, 2015). xiii + 190 pp.
online review
- Shantz, Douglas H.
An Introduction to German Pietism: Protestant Renewal at the Dawn of Modern Europe
. Baltimore: Johns Hopkins University Press, 2013.
- Stoeffler, F. Ernest.
The Rise of Evangelical Pietism
. Studies in the History of Religion 9. Leiden: E.J. Brill, 1965.
- Stoeffler, F. Ernest.
German Pietism During the Eighteenth Century
. Studies in the History of Religion 24. Leiden: E.J. Brill, 1973.
- Stoeffler, F. Ernest. ed.:
Continental Pietism and Early American Christianity
. Grand Rapids, MI: Eerdmans, 1976.
- Winn, Christian T. et al. eds.
The Pietist Impulse in Christianity
(2012)
- "Six Principles of Pietism", based on Philip Jacob Spener's six proposals
http://www.miamifirstbrethren.org/about.html
Archived
10 Mei 2017 at the
Wayback Machine
.
- Joachim Feller
, Sonnet. In:
Luctuosa desideria Quibus
[…]
Martinum Bornium prosequebantur Quidam Patroni, Praeceptores atque Amici
. Lipsiae [1689], pp. [2]?[3]. (Facsimile in: Reinhard Breymayer (Ed.):
Luctuosa desideria
. Tubingen 2008, pp. 24?25.) Here for the first time the newly detected source. ? Less exactly cf. Martin Brecht:
Geschichte des Pietismus
, vol. I, p. 4.
- Johann Georg Walch
,
Historische und theologische Einleitung in die Religionsstreitigkeiten der evangelisch-lutherischen Kirche
(1730);
- Friedrich August Tholuck
,
Geschichte des Pietismus und des ersten Stadiums der Aufklarung
(1865);
- Heinrich Schmid
,
Die Geschichte des Pietismus
(1863);
- Max Goebel
,
Geschichte des christlichen Lebens in der Rheinisch-Westfalischen Kirche
(3 vols., 1849?1860).
Mada inaongelewa kwa urefu wa kutosha katika:
Vitabu vingine ni:
- Heinrich Heppe
,
Geschichte des Pietismus und der Mystik in der reformierten Kirche
(1879), which is sympathetic;
- Albrecht Ritschl
,
Geschichte des Pietismus
(5 vols., 1880?1886), which is hostile; and
- Eugen Sachsse
,
Ursprung und Wesen des Pietismus
(1884).
Tena:
- Friedrich Wilhelm Franz Nippold
's article in
Theol. Stud. und Kritiken
(1882), pp. 347?392;
- Hans von Schubert
,
Outlines of Church History
, ch. xv. (Eng. trans., 1907); and
- Carl Mirbt
's article, "Pietismus," in Herzog-Hauck's
Realencyklopadie fur prot. Theologie u. Kirche
, end of vol. xv.
Toleo bora ni la magombo manne ya Kijerumani:
- Geschichte des Pietismus (GdP)
Im Auftrag der Historischen Kommission zur Erforschung des Pietismus herausgegeben von Martin Brecht, Klaus Deppermann, Ulrich Gabler und Hartmut Lehmann
(English:
On behalf of the Historical Commission for the Study of pietism edited by Martin Brecht, Klaus Deppermann, Ulrich Gaebler and Hartmut Lehmann
)
- Band 1:
Der Pietismus vom siebzehnten bis zum fruhen achtzehnten Jahrhundert. In Zusammenarbeit mit Johannes van den Berg, Klaus Deppermann, Johannes Friedrich Gerhard Goeters und Hans Schneider hg. von Martin Brecht. Goettingen 1993. / 584 p.
- Band 2:
Der Pietismus im achtzehnten Jahrhundert. In Zusammenarbeit mit Friedhelm Ackva, Johannes van den Berg, Rudolf Dellsperger, Johann Friedrich Gerhard Goeters, Manfred Jakubowski-Tiessen, Pentii Laasonen, Dietrich Meyer, Ingun Montgomery, Christian Peters, A. Gregg Roeber, Hans Schneider, Patrick Streiff und Horst Weigelt hg. von Martin Brecht und Klaus Deppermann. Goettingen 1995. / 826 p.
- Band 3:
Der Pietismus im neunzehnten und zwanzigsten Jahrhundert. In Zusammenarbeit mit Gustav Adolf Benrath, Eberhard Busch, Pavel Filipi, Arnd Gotzelmann, Pentii Laasonen, Hartmut Lehmann, Mark A. Noll, Jorg Ohlemacher, Karl Rennstich und Horst Weigelt unter Mitwirkung von Martin Sallmann hg. von Ulrich Gabler. Goettingen 2000. / 607 p.
- Band 4:
Glaubenswelt und Lebenswelten des Pietismus. In Zusammenarbeit mit Ruth Albrecht, Martin Brecht, Christian Bunners, Ulrich Gabler, Andreas Gestrich, Horst Gundlach, Jan Harasimovicz, Manfred Jakubowski-Tiessen, Peter Kriedtke, Martin Kruse, Werner Koch, Markus Matthias, Thomas Muller Bahlke, Gerhard Schafer (†), Hans-Jurgen Schrader, Walter Sparn, Udo Strater, Rudolf von Thadden, Richard Trellner, Johannes Wallmann und Hermann Wellenreuther hg. von Hartmut Lehmann. Goettingen 2004. / 709 p.
|
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Upietisti
kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|